Gari ndogo (saloon) inaotajika..isizidi 4 Mil

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,273
Reaction score
5,926
inahtajika gari ndogo
saloon inayoweza piga taxi
iwe nzuri walau...
iwe na cc isyozid 1500
corrola itapendeza zaid
weka picha inapobidi
 
mkweche ni aina gani tena au nini? mie nimeandika gari..siyo iko kitu kingine
 
Mkweche kwa maana nyingine ukiliona hilo gari kwa nje linaonekana ni Toyota Corolla lakini ukiliwasha linatoa mlio undefined (mengine yanalia kama generator), nadhani mikela alikuwa anamaanisha kwa hela hiyo utapata gari kuukuu
 
Last edited by a moderator:

nadhani nina makusudi maalum hususani likiweza piga mzigo hata kwa muda flani hivi...mie cha kutembelea ninacho voda walinitunuku mkoko enzi hizo mpaka leo unadunda tu. lkn pia ahsante kwa ushauri
 
Kwa hela hiyo utapata
 
Back
Top Bottom