Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

LAPTOP DELL MPYA KWA 350000 80 GB ram 512 no 0764435828 au 0718512630, 0713785446....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kufanya biashara ya kuuuza vinywaji moto na baridi morogoro mjini.Kama kuna anayejua existing bar inayokodishwa ili nianzie hapo, anijuze tafadhali hapa au PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta gari ya kukodisha kwa muda wa siku 3 iwe na uwezo wa kuchukua watu zaidi ya saba na iwe katika hali nzuri.iwe ya bei nafuu na haitajiki dereva
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza,bajeti yangu Tsh 120,000,iwe na uwezo kwenye internet na inayokaa na chaji,hata used iliyo katika hali nzuri
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Shamba hilo lipo kijiji cha Lupunga barabara ya Mzenga bei 1m kwa heka nitafute kwa 0717000990.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni au mtu binafsi anahitajika kuwekeza na kuendeleza machimbo ya RUBBY,DHAHABU na Gemstone.. Mgodi upo matombo Morogoro At Nyamhui gold mining. Hata akitokea mtu akihitaji kununua eneo zima...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu kama kuna mtu anaemfaham mtu yeyote mwenye uwezo wa kufundisha Financial acc or managerial financial management tuwasiliane tuongee biashara. Mwanafunzi ni mjasiriamali anaehitaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sucessful people,in every walk of life,think and talk about what they want most of the time.They think and talk about the future and how they can make it a reality.They are continually thinking...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Wana JF Kipindi hiki ni msimu wa kuvuna mananasi,nianatafuta mtu anayeweza kununua kuanzia nanasi 1,000-2,000 kila wiki kuanzia sasa hadi mwhishoni mwa february mwakani. bei maelewano piga...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello wana JF, Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kwa wasomaji wa vitabu mbali mbali tafadhali nifahamishe kama unahitaji kupata hard copy ya kitabu fulani ambacho ni adimu kukipata kwenye...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Wakuu, Nina Bajaj naiuza. Vielelezo (specifications) vyake ni kama ifuatavyo: Ni 4 strokes (205 cc) Ni ya April 2011 Iko Dar es salaam. Bei ni Tshs 1,700,000= Iko katika hali nzuri na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ya kisasa inauzwa, ipo bunju A usalama ina vyumba 3 kimoja master, sebule kubwa, public toilet, kitchen, dinning, store na eneo kubwa. nyumba imeunganishwa maji na umeme, umbali kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF ushauri tafadhali; Katika hizi models za gari la Toyota, ipi ni bora zaidi kwa matumizi Bongo?. Yaani ukizingatia uchakavu na upatikanaji wa spare parts. Hitaji pia ni gari lenye engine...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu ninaomba mnisaidie kwenye hii issue kuna gari dogo grand mark ii inatakiwa kufanywa tax maana muda mwingi inakuwa imepark sio kwamba mwenyewe kafulia ila siku za kazini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
samsung galaxy s3 new 710000tsh :mobile 0717940714
0 Reactions
3 Replies
958 Views
HP Gb 80, Ram 1 gb Prossecor 3.20, kwa 140000 Desktop 0764435828 nipo manzese luhanga
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Wadau na wafanyabiashara wenzangu. G12 int'l tunatangaza punguzo la gharama za usafirishaji wa mizigo kutoka China hadi Tanzania Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 20 feet USD2,500 kuipitia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KIPO KURASINI TOM ESTATE DAR ES SALAAMkina ukubwa wa heka 1. kipo umbali wa 5km kutoka bandarini , umeme na maji vinapatikana . kinafaa kwa matumizi ya kibiashara au kuhifadhia mizigo kwani maeneo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cif dar tzs mil 38
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamii nauza kiwanja kina ukubwa wa eka na kina miti aina ya mitiki umri miaka nane. Kipo Mang'ula - Mwaya -Kilombero(w). Eneo lina faa kibiashara hostel/hospital/Hotel n.k. Bei maelewano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom