Rim paper a4 kwa 5000

Rim paper a4 kwa 5000

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
34
wapendwa naomba mnisaidie sehemu yeyote wanapouza rim paper kwa hyo bei lakini isiwe za wizi,ASANTENI SANA
 
Ukiipata nami unambie nichukue tenda mahala ya kusupply.
 
wapendwa naomba mnisaidie sehemu yeyote wanapouza rim paper kwa hyo bei lakini isiwe za wizi,ASANTENI SANA
Mkuu China utapata around 2usd ila by the time umelipa ushuru na transport utakuwa umekaribia bei unayoikimbia.

Kwahio unless unaongelea container zima nadhani ni bora kununua kwa bei ya carton bongo ambayo nadhani ni around 35,000 kwa ream tano
 
bongo maeneo yepi hayo kwa bei hiyo mkuu?
 
bongo maeneo yepi hayo kwa bei hiyo mkuu?
nimeonge na jamaa yangu hapa kaniambia mikoani unaweza kupata kwa 32,000/= kwa carton hivyo basi Dar ninauhakika unaweza kupata kwa 30,000/= (as you know Dar being Dar...) ebu jaribu kuulizia kariakoo au kwa masumin am sure bei haichezi mbali na hapo
 
Okey asanteni nmepata sehemu for 30000 kwa cartoon,asanteni sana
 
check pm? siuseme wapi na sis tuende! HAYA racky TUAMBIE WAPI HUKO!!.
 
ukipata hizo paper kwa urahisi sana ujue hazina viwango na kama ni kwa matumizi ya printinng na fotokopi zinasumbua kwenye mashine.
 
nmenunua mzgo mwingi afu mteja kazngua,kwahyo atakaye kuwa interested aniambie but ntauza for 31000 per carton which is still cheap at least npate kahela kakufuta jasho coz mzgo nmeufuata pugu road.
 
Rim kwa 5000 sahau au iwe za wizi nawe hutaki za wizi,saa hizi rim ni kati ya 10000 na 11000 Tsh
 
Rim kwa 5000 sahau au iwe za wizi nawe hutaki za wizi,saa hizi rim ni kati ya 10000 na 11000 Tsh
mimi nauza carton moja tshs 31,000, kama unahitaji kiasi chochoto , nitafute. Pia No1 zipo. receipt unapewa
 
Back
Top Bottom