TRUE ROAD TECHNOLOGIES Limited is a Tanzanian leading career andpersonal development company established in November 2012 to spearhead personaland career development programs in Tanzania. It does...
pls jaman kwa anaeuza laptop aina ya dell au hp au aina nyengine iwe na hdd 500 gb na kuendelea ram 4gb nakuendelea iwe na speed nzuri na betri zuri isiwe imechoka sana. Nipo dsm makumbsho...
NOKIA Asha 200 used kwa miezi saba inauzwa kwa 110000 tuuu!!!!!! hizi ni sifa zake
4 gb of Ram
2 line or sim card
rrm 761 (nokia)
virtual variant
language v 10.60
20-01-12
nipo mabibo nicheki...
Mashamba matatu yenye ukubwa wa ekari 1. Yapo kata ya Visiga kituo cha madafu. La kwanza lipo kilometa 1 na nusu kutoka morogoro road, bei 3.5mil. La pili lipo kilometa 4 kutoka Morogoro road, bei...
lilikuwa Shamba na sasa limebadilishwa matumizi na kuwa makazi hivyo kinauzwa kiwanja
Eneo: Bunju A. Block F
Umbali: 2.5 km toka barabara kuu iendayo bagamoyo
kinafikika kiurahisi ...
wadau,
Naomba maujuzi(legal requirements ) na baadhi ya details kwa wenye ufahamu juu ya biashara hii..ningependa kujua mara baada ya kusajiliwa brela kampuni yangu/frm natakiwa kujisajili na...
Wadau habari za leo?
Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM.
Vitabu vifiuatavyo:-...
Nahitaji mkopo wa haraka nina biashara zangu,maduka, nipo kariakoo, ninahitaji mkopo unaoanza mil.30 ,naomba masharti ili niweze kupata huo mkopo.ahsanteni
Shamba linauzwa Morogoro Kihonda liko barabara ya kuelekea Dodoma kutoka stendi kuu Msanvu kama Kilometa 15. Lina ukubwa wa Eka kama 30 kila Eka ni Tshs 300,000/=
only @ TSH 250,000/=
used but in excellent condition!!
-with 3G , wifi , camera with flash etc
include : phone , battery , battery cover, charger , usb cable
Quantity 3
serious buyer call ...
Mimi ni kijana mwenzenu nina miliki kiwanja,,nataka nitumie kiwanja changu km dhamana ili niweze kupata mkopo wa laki 5 naomba kwa mwenye moyo anisaidie kwa hilo.
Heri ya christmass wana jf; Mimi nimehamia arusha (mwaka moja umepita) kutoka musoma na kule nilikokuwa nilikuwa nafanya biashara ya duka la rejareja. Nimeshindwa kuliendesha nikiwa huku hivyo...