Mashamba yanauzwa KIBAHA

Mashamba yanauzwa KIBAHA

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
Mashamba matatu yenye ukubwa wa ekari 1. Yapo kata ya Visiga kituo cha madafu. La kwanza lipo kilometa 1 na nusu kutoka morogoro road, bei 3.5mil. La pili lipo kilometa 4 kutoka Morogoro road, bei 1.5mil. La tatu lipo kilometa 7 kutoka morogoro road, bei 1.8mil. hili upande wa pili utokea Tegeta, Bagamoyo. Mashamba yote yanafaa kwa kujenga, kulima, kufuga n.k. 0714404057 0755033997
 
Je, mashamba yote ma3 kila moja lina ukubwa wa ekari 1 au jumla yake ndo ekari 1 (yaani kwa yote)?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom