Bee hive Senior Member Joined Feb 22, 2012 Posts 146 Reaction score 54 Dec 23, 2012 #1 wana jf naomba kujuzwa kama kuna sehemu (chuo au shule), naweza funzwa jinsi ya kutumia ala za muziki katika jiji la Arusha. xmas njema!
wana jf naomba kujuzwa kama kuna sehemu (chuo au shule), naweza funzwa jinsi ya kutumia ala za muziki katika jiji la Arusha. xmas njema!
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,489 Dec 25, 2012 #2 Bee hive said: wana jf naomba kujuzwa kama kuna sehemu (chuo au shule), naweza funzwa jinsi ya kutumia ala za muziki katika jiji la Arusha. xmas njema! Click to expand... nenda makumira.
Bee hive said: wana jf naomba kujuzwa kama kuna sehemu (chuo au shule), naweza funzwa jinsi ya kutumia ala za muziki katika jiji la Arusha. xmas njema! Click to expand... nenda makumira.
Bee hive Senior Member Joined Feb 22, 2012 Posts 146 Reaction score 54 Dec 27, 2012 Thread starter #3 Thanks,
A Auto Member Joined Nov 7, 2012 Posts 51 Reaction score 10 Dec 27, 2012 #4 Kuna vijana wengine wako pale kimandolu karibu na victorious chach wanafundisha , me nlijifunzia drumz apo , wacheki
Kuna vijana wengine wako pale kimandolu karibu na victorious chach wanafundisha , me nlijifunzia drumz apo , wacheki
Bee hive Senior Member Joined Feb 22, 2012 Posts 146 Reaction score 54 Dec 28, 2012 Thread starter #5 Auto said: Kuna vijana wengine wako pale kimandolu karibu na victorious chach wanafundisha , me nlijifunzia drumz apo , wacheki Click to expand... Sawa kiongozi ntajitahidi niwaone.
Auto said: Kuna vijana wengine wako pale kimandolu karibu na victorious chach wanafundisha , me nlijifunzia drumz apo , wacheki Click to expand... Sawa kiongozi ntajitahidi niwaone.