Laptop Inahitajika

Laptop Inahitajika

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Hi, nahitaji laptop kwa 230,000/= kushuka chini. No longo longo. Iwe tu na ram Nzuri + Discspace. Inbox me
 
daaah hiyo pesa ongeza walao hata 20000 tukusaidie ndugu...
 
jiandae kupata mashine za kusaga dell d610, 620 and the like...
 
jiandae kupata mashine za kusaga dell d610, 620 and the like...

Akili zako kama hilo tumbo lako, hizo mashine unazozisema ndio zinahimili joto la kanchi ketu na kamwe huwezi ku - experience frequent breakdowns kama Toshiba and the likes.

Unapotaka kununua computer, angalia mahitaji yako na mazingira yako
 
Hahaha anataka jamaa anunue i7 wakati mshikaji anataka kwa ajili ya facebook
 
ongeza kidogo hela upate mashine nzuri otherwise utapata kopo
 
Jamani Kwa Hizo namba RAM Ktk Laptop Zina Umuhimu Gani
Vlevle ni namba gani ya RAM ni bora kwa matumizi angalau ya kudownload Movies?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom