Shamba linauzwa limesajiliwa kwa matumizi ya makazi

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
lilikuwa Shamba na sasa limebadilishwa matumizi na kuwa makazi hivyo kinauzwa kiwanja

Eneo: Bunju A. Block F
Umbali: 2.5 km toka barabara kuu iendayo bagamoyo
kinafikika kiurahisi , umeme upo karibu ni nguzo 2 na nyumba inayopakana na kiwanja ina umeme , maji kisima
upimaji: kiwanja kimepimwa kina sqm 2,941 kina hati ya mwaka 2010
Bei : kinauzwa 25 milioni
mawasiliano: 0657 145555 & 0755 099 291
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,937
9,716
Asante Akiri. Tangazo limetulia ila bei ni balaa sana!! Hivi wale watanzania ambao wanakula mlo mmoja kwa siku watakaa wajenge kweli? Hii ni hatari sana.
 

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
Asante Akiri. Tangazo limetulia ila bei ni balaa sana!! Hivi wale watanzania ambao wanakula mlo mmoja kwa siku watakaa wajenge kweli? Hii ni hatari sana.
Mkuu hao watu wanaokula mlo mmoja nao wananamna yao ya kupata makazi, hii bei inazungumzika usiogope
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom