Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,765
Heri ya christmass wana jf; Mimi nimehamia arusha (mwaka moja umepita) kutoka musoma na kule nilikokuwa nilikuwa nafanya biashara ya duka la rejareja. Nimeshindwa kuliendesha nikiwa huku hivyo nataka nilihamishie arusha. Kama kuna mtu anajua mtu mwenye saiti nzuri(arusha) labda amehamishiwa mkoa mwingine (kama mimi) anijulishe tufanye biashara au chumba cha biashara kilichopo eneo lenye mzunguko wa watu hasa nje kidogo ya mji - arusha. Nawasilisha wapendwa!!!