Wapi wanauza vitabu hivi vya zamani?

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Wadau habari za leo?

Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM.

Vitabu vifiuatavyo:-


  1. Mashimo ya Mfalme Suleiman
  2. Alfu Lela Ulela
  3. Malimwengu
  4. Hadithi za Esopo
  5. Hekaya za Abunuwasi
  6. Pinokyo
  7. Someni Bila Shida


Asanteni
 
Khaa! Uchoyo huo!
Mpaka maduka ya vitabu kwa PM?
Weka hadharani.

Ongezea na "Juma na Roza", Safari ya Bulicheka, "Musa Neema and Baraka (Mr. and Mrs. Daudi)" na "Manenge na Mandawa" -- Navihitaji hivi!
 
Back
Top Bottom