Wadau, mimi ni operator wa hizo machine Reach/Counter balance trucks naomba mdau ambaye anafaham wapi naweza kupata nafasi ya kuzi operate anijuze tafadhali, namba yangu ni 0712 477976
Asanteni.
Ninauza kiwanja chenye ukubwa wa futi 50 kwa 45
Bei ni milioni 3000,000/= milioni tatu tu
Kwa anae hitaji tuwasiliane kwa namba ya simu 0753868912
Au kwa email address...
Wadau kuna mshikaji ameangusha Driving Licence no: 400.....473, Jina la ukoo: MKUBWE. Makazi: Tanga, kama unamfamu ani PM nimpatie licence yake. By MSAMALIA MWEMA.
Nyumba iko safi kabisa na inafance kubwa na uwanja wa kutosha na mahali pazuri.
Inavyumba vinne(4) vyote self, na sitting room nzuri, dinning, jiko, store, veranda mbele na nyuma na toilet ya...
Supplier mkubwa wa suits kwa botiques nyingi hapa jijini Ameleta mzigo mpya wa uhakika. Na sasa ameanza kusupply rejareja, unampigia simu anakutumia uletewe popote ulipo DSM unaikagua ukiridhika...
Nyumba ya kawaida inauzwa sh. Mill 35, ina eneo kubwa. Na Shamba lina uzwa mill 25, lina miembe,minazi, vyote hivyo vipo kibaa mwendapole. Kwa maelezo zaidi piga namba hizi :0717 008781 / 0656652807.
Kiwanja chenye ukubwa wa ft100 kwa ft110 kinauzwa, kipo mbande hatua chache kutoka stand kama unaelekea mvuti. Nikizuri sana na bei yake ni mzuri sana. Ukiwa unahitaji ni PM.
Nashukuru kwa...
habari zenu wakuu.
Naomba msaada kwa members wa morogoro wing, nimehamishiwa moro kikazi, naomba msaada kwa anaemjua dalali wa nyumba anipatie namba zke. Or kwa anaeweza kunisaidia kupata chumba...
Wakubwa natarajia kuja Tanga next week Tuesday 19-02-2013 na nitahitaji PA system katika shughuli yangu. Mwenye nayo au contact tafadhali anipe PM this is urgent please.
Hii itakuwa kwa ajili ya...
Kwa kweli kwa mtu anaejali ubora wa ngozi yake, basi tafadhali ajaribu sabuni hizi, zimetengenezwa kwa njia ya asili ni Tiba na kinga ya uhakika kwa ngozi yako pia zinakat chumvichumvi iliyoko...
nauza external hardrive mpyaaaaaa na seal zake ni ya transcend one terrabyte kwa alietayari tuwasiliane kwa number hii 0717957070 na hata kwa installment hella yako itapokelewa
kwa maelezo zaidi tembele website yetu www.jordanexpress.co.tz sign in ili uweze kujipatia up dates za vifaa tofauti kama spare za magari pikipiki generators vifaa vya kutengeneza barabara...
Nina shida ya haraka sana na galax pocket mwenye nayo plz aniuzie,nina Tsh 150,000/= lakini inaweza kupungua kutokana na hali ya bidhaa.No yangu ni 0712494808.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.