Msambaa mkweli
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 339
- 439
Wadau kuna mshikaji ameangusha Driving Licence no: 400.....473, Jina la ukoo: MKUBWE. Makazi: Tanga, kama unamfamu ani PM nimpatie licence yake. By MSAMALIA MWEMA.
Mkuu ungerudisha na wallet ningekuona wa maana.
Mkuu kilichookotwa ni driving licence na sio wallet.
kuna ambaye namjua,kwenye hiyo lesen jina la kwanza linaanzia na "Tu..a" au "ka..e"?
Sasa ndo umeongea nini!
ipeleke polisiWadau kuna mshikaji ameangusha Driving Licence no: 400.....473, Jina la ukoo: MKUBWE. Makazi: Tanga, kama unamfamu ani PM nimpatie licence yake. By MSAMALIA MWEMA.
Nimeoma umeficha jina la kwanza,basi kama vp liseme tuone kama tunamjua coz Mkubwe ni ukoo wa kisambaa wapo zaidi ya elfu moja.hao ninaowajua sura siwakumbuki fresh
Kiongozi
Nakushuru kwa usamaria wako wa kutangaza hapa ila nakushauri uipeleke kituo cha Police idara ya Traffic. Kama unaweza kuipeleka kituo cha polisi cha mkoa wowote uliopo, wakiweka tu hiyo namba ya lesseni kwenye komputa,watapata namba ya mawasiliano ya huyo mtu hivyo watamjulisha achukue.
Asante
Acha kusema uongo,wakiweka tu kwenye computer wanapata mawasiliano ya huyo mtu,kweli???computer ina namba ya simu ya kila mtu???kama kuna namba uliijaza wakati unaomba leseni doesnt mean u have it hadi leo na siku hizi watu wanasajili line zao hata kwa majina feki na kadhalika,nikupe mfano mimi hapa nina line ya tigo imesajiliwa kwa jina lingine(simjui huyu mtu lakini najua tu jina) but i use it everywher everyday.
mkubwa hauko sahihi kuna detail nyingi ambazo zinaweza kusaidia kumpata mwache aipeleke polisi
itupe chooni.....
Ama kweli wewe ni Msamaria mwema kwani watu wa jinsi yako ni wachache! Cha muhimu ni kumtafuta mwenyewe mhusika kwani hata vyombo vyetu vya dola wanaweza kufanyia faida.... Big up mkuu!Wadau kuna mshikaji ameangusha Driving Licence no: 400.....473, Jina la ukoo: MKUBWE. Makazi: Tanga, kama unamfamu ani PM nimpatie licence yake. By MSAMALIA MWEMA.