Heshima kwenu wakuu. Nyumba inauzwa ipo Kinondoni Mkwajuni.
Sifa za Nyumba: Nyumba kubwa ina vyumba vitano, vitatu vinawapangaji viwili vimeezekwa havijawekwa milango wala madirisha. Na kimoja...
Habari za leo wakuu. kama heading inavyojieleza, najua Watanzania wapo waliosomea na kubobea katika hilo, hivyo basi mwenye ujuzi na utaalamu wa kile nnachokihitaji nnaomba tuwasiliane tafadhali...
Habari wana JF.
Gari inauzwa ipo kwenye khali nzuri.
haina udalali.
naomba mwenye nia ya kununua tuwasiliane kwa namba hizi
0689141483
0784474919
0717706259
Bei maelewano.Napatikana Dar.
Asanteni...
Greetings from True RoadTechnologies Limited!------A One stop CAREER & PERSONAL Development Centre
True Road Technologies Limited is a career and personally development company with office at...
Earn money from your own affiliates
With the MobPartner affiliate referral program you can earn even more money by referring other publishers to MobPartner. This translates to 5% additional...
Ninatafuta kiwanja cha size (30m*40) minimum size au shamba Arusha. Nilikuwa nataka sehemu ambayo ninaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki kwaajili ya kuweka migomba na n.k. Naitaji sehemu isiwe...
wadhee mamboz?
mimi ni reseller wa vocha za www.tunnelguru.com kama kuna mtu anahitaji ani pm. ni buku 10 unlimited monthly. muda wa mauzo ni anytime lakini mara nyingi ni kuanzia saa 12 jioni...
salam wakuu,
simu aina ya sony ericson u1i inauzwa, nimeitumia kwa wiki 3 ila kutokana na hali ya uchumi kuwa mbaya nimeona niiuze!
Anayehitaji ani pm ofa yake, nipo dsm
Wakuu habarini!
Moja ya makampuni yanayofanya shuguli kupitia trade car view ni VALUE PLANNER CO.,LTD je kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia hii kampuni?
Uhakika wake na wa mzigo ukoje?
Ina sifa zifuatazo ( ipo mikocheni maeneo ya shoppers plaza )
Vyumba 4 , ambavyo vinamatumizi tofauti mfano
2 ni kwa ajiri ya ofisi
1 flem
1 store na choo
vyumba vyote vina A/C , viti vya kisasa...
www.tangazo.com | Connecting Businesses ni tovuti pekee nchini Tanzania inaounganisha Mabiashara Zote hapa Nchini.
Kwa habari zaidi tembelea website yetu www.tangazo.com | Connecting Businesses...
Jaman nna shida na rum. Iwe kubwa, nymb yny maj na umeme. Mitaa ya Kinondon, Sinza au Ubungo. Naomba anayemjua dalal au km binafsi unajua rum ilipo plz naomba uni pm ili tuwasiliane kwa simu. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.