Nyumba inaunzwa - dodoma area e

Nyumba inaunzwa - dodoma area e

Kaka Sam

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
540
Reaction score
80
Nyumba iko safi kabisa na inafance kubwa na uwanja wa kutosha na mahali pazuri.

Inavyumba vinne(4) vyote self, na sitting room nzuri, dinning, jiko, store, veranda mbele na nyuma na toilet ya public kwa ajili ya wagen.

ukitaka tuwasiliane nikupe namba ya simu.
 
picha muhimu mkuu,
weka na bei kabisa tusipate shida ya kukupigia bila kujua bei, ni kupoteza wakati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom