kwa wajanja waukweli hii inakufaha

kwa wajanja waukweli hii inakufaha

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Nifriji used kadogo kanafaha geto lakuweka juu ya yastuli bei 130,000 cm 0712690760 linaitwa Husky lipo temeke
 
Nakatumia ndio mana nimesema kwageto nasio familia nifriji yachumban kaka kufa Lina faha mana natumia mpk sasa
 
Kwako mjanja ni yule anayenunua Friji used toka kwako?? alafu wa TEMEKE??
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Nifriji used kadogo kanafaha geto lakuweka juu ya yastuli bei 130,000 cm 0712690760 linaitwa Husky lipo temeke
 
Kama linaFAHA HUNALiuza kwa nini? Hau umenunuHA Lingine mkuhu
 
Kwako mjanja ni yule anayenunua Friji used toka kwako?? alafu wa TEMEKE??
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

kwani wanao kaa Masaki wanatumiaje tajili au wakifa hawaozi mm nakatmk kulingana uwezo wangu wewe mungu kakujalia kuishi Masaki nazani nisababu yakutuzarau tunao ishi temeke tajili ila yote Mapito halio kuweka wewe kuishi Masaki IPO siku hatamua uishi tmk tajili kwakua nazani mungu wamasaki nimungu WA temeke PIA tajili
 
Bei imepungua linauzwa laki sasa
 
Inawezekana ukawa chizi flesh ILA hujijui
 
Back
Top Bottom