Jordan express co ltd pungozo la bei kwa magari yafuatayo.

jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
kwa maelezo zaidi tembele website yetu www.jordanexpress.co.tz sign in ili uweze kujipatia up dates za vifaa tofauti kama spare za magari pikipiki generators vifaa vya kutengeneza barabara trucks za mizigo na zakubeba vifusi na nk...... Unaweza kutupigia kwa namba ifuatayo 0713960161 au 222203236 au 0753424500 tunapatika chama cha walimu floor no 6 ilala.
 
GADAF

Member
Feb 23, 2011
93
33
1.mitsubishi fuso

2. Sivilian

3.toyota altezza

4.toyota raum

5.toyota ist

Hello Jordan nimetembelea kwenye website yenu nakupewa member ID 240 nilitaka kujua punguzo la truck yenye ID 000015 na trailer yenye ID 000157 punguzo lake ni kiasigani pia nipe jumla ya cost zote likiwa barabarani ni Tsh ngapi?
 
marinjerinje

Member
Dec 3, 2012
5
0
Mkuu naomba msaada nimependa trailer lenye kumbukumbu namba 000025 nimekosa sehemu ya kutuma ujumbe kupita kwenye website yenu naomba unipe hesabu kwa Tsh cost zote beigani mpaka hapa na malipo yanakuaje?
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,998
5,196
Ofisi zenu ziko wapi?
Pia ni vema ukaelezea tofauti ya new na Used: Una maana new-->Direct from Industry vs used?
 
jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Hello Jordan nimetembelea kwenye website yenu nakupewa member ID 240 nilitaka kujua punguzo la truck yenye ID 000015 na trailer yenye ID 000157 punguzo lake ni kiasigani pia nipe jumla ya cost zote likiwa barabarani ni Tsh ngapi?

Asante sana mr Gadaf baada ya muda mfupi wateja wote mtaweza kuwasiliana nasi moja kwamoja kupita kwenye website yetu.......Truck 15 na trailer 157 jumla utalipa 117,615,600 Tsh karibu sana.
 
jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Hello CTO new maana yake km ni 0000 used maana yake km 1- kwendelea.....kamakuna ID au sehemu kuna new lakini gari limetembea nikosa la kiuandishi.....Ofisi zetu ziko chama cha walimu ilala floor no 6 karibu sana.
 
jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Hello boss Marinjerinje trailer no 25 bei yake likiwa na punguzo ni 55,642,000 Tsh unaletewa kwenye yardi yako, karibu sana.
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,998
5,196
Hello CTO new maana yake km ni 0000 used maana yake km 1- kwendelea.....kamakuna ID au sehemu kuna new lakini gari limetembea nikosa la kiuandishi.....Ofisi zetu ziko chama cha walimu ilala floor no 6 karibu sana.
Shukrani. Mimetafuta Carina TI sijaiona. Kuna Altezza na bei yake haikamatiki. Sijaona pia Premio. Ile Spacio nimeona inaenda kama Mil 3+ wakati kuna nyingine inaenda Mil 10+ zina tofauti gani?

Kutokana na Utapeli uliopo mjini watu tunakuwa tunapenda zaidi proof (kuwa na office ni kitu kizuri, hivyo hongera), utaratibu wenu wa malipo na makabidhiano ukoje?

Samahani kwa maswali mengi!
 
jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Shukrani. Mimetafuta Carina TI sijaiona. Kuna Altezza na bei yake haikamatiki. Sijaona pia Premio. Ile Spacio nimeona inaenda kama Mil 3+ wakati kuna nyingine inaenda Mil 10+ zina tofauti gani?

Kutokana na Utapeli uliopo mjini watu tunakuwa tunapenda zaidi proof (kuwa na office ni kitu kizuri, hivyo hongera), utaratibu wenu wa malipo na makabidhiano ukoje?

Samahani kwa maswali mengi!
Bila samahani Asante sana mkuu! tofauti za bei zinatoka na Rate,ubora,km ,rangi lakini ukitoa order ya kuagiza bei ni nafuu ukilinganisha na bei za magari yaliko hapa. Carina TI zipo bado website ikokwenye matengenezo baada ya siku mbili itakuimeisha kutenezwa,magari mengi yatakuemo pia na vifaa vingine vitaweza kuonekana chakufanya sign utapata up dates,Malipo yanafanyika benk au ofisini Karibu.
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,998
5,196
Bila samahani Asante sana mkuu! tofauti za bei zinatoka na Rate,ubora,km ,rangi lakini ukitoa order ya kuagiza bei ni nafuu ukilinganisha na bei za magari yaliko hapa. Carina TI zipo bado website ikokwenye matengenezo baada ya siku mbili itakuimeisha kutenezwa,magari mengi yatakuemo pia na vifaa vingine vitaweza kuonekana chakufanya sign utapata up dates,Malipo yanafanyika benk au ofisini Karibu.

Shukrani.
Unaweza bandika Bei za Hizo gari nimeomba hapo juu (Carina TI, Premio 2 non D4 Engine) hapa (Kuagiza na kununa hapo zilizopo) ili angalau nijue kama mchakato uendelee. Picha pia zitapendeza
Jibu lako la tofauti za Spacio hizo mbili ni zuri ila ningefurahi ungekuwa specific tofauti ya hizo spacio mbili nilizozisema yaani kama a imetembea km x wakati b imetembea 0 n.k

Usichoke na maswali yangu na shukrani kwa majibu!
 
jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Shukrani.
Unaweza bandika Bei za Hizo gari nimeomba hapo juu (Carina TI, Premio 2 non D4 Engine) hapa (Kuagiza na kununa hapo zilizopo) ili angalau nijue kama mchakato uendelee. Picha pia zitapendeza
Jibu lako la tofauti za Spacio hizo mbili ni zuri ila ningefurahi ungekuwa specific tofauti ya hizo spacio mbili nilizozisema yaani kama a imetembea km x wakati b imetembea 0 n.kHakuna kuchoka CTO, tupo pamoja. Hizo Spacio ID 000100 na ID 000101 Location ni Japan, Bei zake ni za CIF Japan Tanzania, hii ya ID 000011 iko Tanzania na hiyo ni bei including TAX, Carina TI na Premio za mwaka gani unazotaka?
Karibu sana.
 
Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
522
87
Sasa mkuu ukisha register, na tuseme unahitaji gari lenye specifications ambazo hamnalo kwenye yard zenu hapo Dar, mnao utaratibu wa kuliagiza? na process nzima inaweza ikachukua muda gani.
Mimi nahitaji Toyota Cami au nyingine yoyote gari dogo 4WD, mileage si zaidi ya 60,000km

1.mitsubishi fuso

2. Sivilian

3.toyota altezza

4.toyota raum

5.toyota ist

kwa maelezo zaidi tembele website yetu www.jordanexpress.co.tz sign in ili uweze kujipatia up dates za vifaa tofauti kama spare za magari pikipiki generators vifaa vya kutengeneza barabara trucks za mizigo na zakubeba vifusi na nk...... Unaweza kutupigia kwa namba ifuatayo 0713960161 au 222203236 au 0753424500 tunapatika chama cha walimu floor no 6 ilala.
 
  • Thanks
Reactions: RR

jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Sasa mkuu ukisha register, na tuseme unahitaji gari lenye specifications ambazo hamnalo kwenye yard zenu hapo Dar, mnao utaratibu wa kuliagiza? na process nzima inaweza ikachukua muda gani.
Mimi nahitaji Toyota Cami au nyingine yoyote gari dogo 4WD, mileage si zaidi ya 60,000km

Hello Tunaweza kukuagizia gari unalopenda process nzima inaweza kuchukua kati ya mwezi mmoja au mwezi moja na week moja...Cami ID NO 00083 4WD 12,500,000 Tsh.. Pia kuna Pajeri JR ID NO 00082 4WD 8,000,000 Tsh...Unaweza kuona picha fungua www.jordanexpress.co.tz karibu sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom