habari zenu wakuu.
Naomba msaada kwa members wa morogoro wing, nimehamishiwa moro kikazi, naomba msaada kwa anaemjua dalali wa nyumba anipatie namba zke. Or kwa anaeweza kunisaidia kupata chumba na sebule yenye choo ndani. Plsss ni PM tulonge.
Hope moro wing mtanipokea member mwenzenu. Kwa heri Dar wing Will miss u