Wapendwa natafta perfume designer hapo juu inaitwa just cavalli her, nmeitafta sana hapa dar cjapata nililetewa na mdogo wangu wakati anatoka Italy, ameshamaliza shule harudi tena, nisaidieni...
Used for 5 months, its in good condition and functions well.
Colour: WHITE
PRICE: 399,900
ukitaka mpya nenda dukani and ask for its price... Tshs.720,000/
Hello
Nna kampuni ndogo inayofanya shughuli mbali mbali ila sijapata point nzuri ya kueka physical address. Kama yupo yeyote mwenye information ya kunisaidia karibu sana.
-Nyumba iwe na ukubwa...
JACEA ni kampuni inayoshughulika na kuuza magari katika bara la Africa. Wanayo magari mazuri yaliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu sana. Tembelea website yetu www.japancarexporter.org. Kwa...
Welcome to Kerege! A new neighborhood with open space, featuring the finest building sites in the area. Price of plot will include transfer costs to your name.
Plot No.115-1283 Square Meters...
Habarini wana JF,
Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini, hasa maeneo ya misufini, k/ndege,mawezzni,bigwa itakuwa poa zaidi, kihonda isiwe kupita maghorofani, kiwe na umeme na maji, kikiwa...
Pata Email kwa jina lako au kampuni yako mfano "mimi@jinalaukoo.com" au "juma@jinalakampuni.com" kwa TZS 80,000/= tu.
Unaweza kuwapa ndugu na jamaa zako email yenye jina lako la ukoo na ukapata...
wadau habari zenu
matatizo ya umeme yamenifika shingoni.
naomba msaada wa mawazo kabla sijanunua inverter
ningependa kujua yafuatayo
1. ni aina gani ya inveter ni imara na ina ufanisi mkubwa...
Heshima mbele wakubwa. Nilikuwa na kakazi kadogo ka ujenzi hivyo ilinibidi kununua baadhi ya vitu ikiwemo mbao na milunda baada ya kumaliza kazi nimegundua kuwa sitakuwa na nafasi ya kuvitumia...
Mimi ni mkaka wa miaka 34, naishi nje ya nchi ila narudi Tanzania baada ya muda mfupi ujao. Natafuta chumba kimoja kwa muda wa siku 12 hadi 13 nitakapokuwa Tanzania. Kuna baadhi ya watu wenye...
Htc window phone 7.5 iko ktk hali nzuri...ina uwezo mkubwa sana...unaweza check specification ktk net....bei ni laki 4 maelewano yapo...contact zangu ni 0764731318