Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Brandnew samsung galaxy s3 ipo kwa box kwa sh.650,000 but we can negotiate...check me thru 0712-065669.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji tv ya samsung flat screen inc 32 iwe ya kisasa mpya au used ila iwe na hali nzuri bajeti yangu ni Tsh laki5. Nipo dar. Namba yangu ni 0713872828
0 Reactions
18 Replies
4K Views
ANNOUNCEMENTS: 1 Bed room Service Apartments at Nelly’s Inn Mbezi Beach: Nelly’s Inn is proud to offer a few Apartments now available for just a fraction of the hotel rates.You get to live in...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ndugu wanajamii nahitaji canter ton2.4 na kuendelea,kwa yeyote anaweza kukodisha tuwasiliane 0766205803
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani kama unayo jitokeze,inahitajika haraka sana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA Habari wanajamii Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo: 1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
ndg wanajamii msaada juu ya wapi naweza pata strong model 4930, mwenye nayo anipm
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Ng'ombe wa maziwa wanauzwa bei gani mmoja
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Nataka iPad ya kununua au tablet za samsung
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye ps 2,na anahitaji simu yenye kila ki2 tuzungumze nahitaji ps 2.Namba yangu ni 0718097972 nipo dar
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nyumba iko kinyerezi(ulongoni) ina viumba 4 kimoja master ina dinning,sitting room,tiles,gypum na msingi wa ukuta(fece) na msingi wa nyumba ni mrefu 0714 119988 jemedary {wahi mapema}
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 200 lililopo bagamoyo kijiji cha kidomole likiwa limepakana na barabara ya kwenda msata linauzwa.bei ya kila ekari ni 450,000,unaweza kununua ekari zozote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeuza simu(samsung galaxy s3) hyo hapo juu(second hand), anitumie PM kwa maelewano zaidi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta cd za game ya computer especially PES 2013
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu wajasiriamali? kuku wa miezi nane tayari wanataga na wana afya nzuri wanapatikana kwa bei nzuir.Kwa anayehitaji wasiliana 0713 48 29 01 Dar Es Salaam .Idadi ya kuku wanaouzwa ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Apartment inauzwa mikocheni ipo nyuma ya supermarket ya Tsn. Kwa mawasiliano piga 0717 11 12 12/0766 11 12 12
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza Concrete Mixer good condition honda engine,ina stand yake, bei maelewano wasiliana nasi 0713058290/0712928272
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi? naitaji kampuni ambayo inaweza kununua Diamonds nina Mzigo wa kutosha.. kama kuna mtu anafahamu kampuni yoyote ambayo inafanya hiyo biashara please anijulishe kwa PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
panasonic lumix SLR 10 MEGAPIXEL, NIKON D40 SLR 6.1 MEGAPIXEL , NIKON D50 10 SLR 10MEGAPIXEL ZOTE ZIPO KATIKA HALI NZURI PIGA SIMU 0712652110 DAR
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Bus aina ya Yu Tong used kiasi linahitajika kwa yeyote mwenye taarifa za muuzaji. Hali ya gari iwe inaridhisha Iwe na uwezo wa kwenda route za mbali kama vile kahama, mwanza, arusha etc Isiwe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom