Nahitaji Spacio kwa bei cheap

Nahitaji Spacio kwa bei cheap

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,038
Husika na kichwa cha habari nahitaji toyota spacio iwe na specification kama manufactur date isizidi 2004,
Transmission automatic
Milleage isizd 100000
Iwe in good condition
Engine 1500cc
Ukiwa nayo naomba uni PM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa spacio nitakujibu kesho isiyozidi 2004

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ipo new model number B . rangi nyekundu inauzwa 10m na pia kuna mpya ambayo haina namba inaumzwa 11.5 kuna ya dhamani ( old model inauzwa 9 number B. ) zaidi 0657 145555
 
Uko maeneo ya wapi nije niione!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ipo new model number B . rangi nyekundu inauzwa 10m na pia kuna mpya ambayo haina namba inaumzwa 11.5 kuna ya dhamani ( old model inauzwa 9 number B. ) zaidi 0657 145555

Huna toyota paso na suzuki carry
 
Back
Top Bottom