Nyumba inapangishwa Mtoni Kijichi wef 1/05/2013

Nyumba inapangishwa Mtoni Kijichi wef 1/05/2013

Joined
Sep 6, 2011
Posts
28
Reaction score
5
Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni tshs. 170,000/- na ni miezi 6, maelewano ruksa. Contacts. 0712 477976.
 
Back
Top Bottom