Huyu mtoto ni nomaaa

Huyu mtoto ni nomaaa

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
476
Reaction score
255
Mtoto kapelekwa hospital na baba yake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na simu, mtoto akamuinamia docta na kumuita kwa sauti ya chini docta.!.. docta!...kwenye dozi ya dawa andika FANTA BARIDI NA CHIPS MISHKAKI kwa siku 30 tena kutwa x3! Doktar hoiiii....

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
 
Ndio nini? Mods hamisheni hayo madudu
 
Back
Top Bottom