Nauza Nyumba kwa Tshs 17,000,000/=

Nauza Nyumba kwa Tshs 17,000,000/=

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Nauza Nyumba ya vyumba vinne iliyopo Kigogo Kati Wilaya ya Kindondoni-Dar es salaam kwa Tshs 17,000,000/=
 
Mkuu Nigga sehemu iliyopo maji hayafiki, don't generalize the issue, na kipimo kizuri ni kufika eneo la tukio kwa kipindi hiki cha mvua.
 
Nauza Nyumba ya vyumba vinne iliyopo Kigogo Kati Wilaya ya Kindondoni-Dar es salaam kwa Tshs 17,000,000/=

Mkuu wamichox.....una deal nzuri nzuri kweli.....tatizo lako picha bana......nini shida.....?

 
Ok picha hii hapa preta


Photo-0004.jpg
 
unataka kuhama mbezi beach mkuu au ni kuongeza mautajiri kama r. moja....

Mbezi kwa vigogo, mimi mlalahoi sijawahi kukaa anywhere close to Mbezi Beach. Naishi Tandika kwenye chumba cha kupanga. Naulizia kwa sababu kuna jamaa wangu anatafuta nyumba. Yeye ana gari.
 
Hii ni unsurveyed area gari haifiki unapaki kama 100 meters from home.
 
Hiyo nyumba ipo kigogo, ni eneo jirani na magomeni,p umeelewa?
 
Hii ni unsurveyed area gari haifiki unapaki kama 100 meters from home.

Unsurveyed area! na gari unapark 100 miters from the building, hilo ni tatizo. Anyway watajitokeza watu wa kununua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom