Mkopo wa haraka wa tsh 1m

Mkopo wa haraka wa tsh 1m

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
Wapi nitapata mkopo wa haraka wa tsh 1m dhamana nitaweka kadi ya gari nitarejesha baada ya 3 weeks na riba ya laki 2.
 
Pole kwa matatizo, waone Bogach pale Tabata au Mwenge wapo. Wanaitwa Bogach Finance. Ila mikopo sio mizuri.
 
Wapi nitapata mkopo wa haraka wa tsh 1m dhamana nitaweka kadi ya gari nitarejesha baada ya 3 weeks na riba ya laki 2.

Kama Upo Dar, nenda sinza mapambano, jengo la Mwanamboka kuna ofic zinaitwa EFL wanatoa mikopo ya haraka kwa riba ya 10% kwa mwezi

-Watahitaji kupajua nyumbani kwako
- Kadi ya gari
- sometimes bank statement yk/ km ni muajiriwa ni rahis zaidi kupata

Mimi ilinichukua 8 hrs kupata mkopo......wapo organised and professional
 
Asante mkuu ngoja niende hapo nikawacheki
 
Back
Top Bottom