Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Pana nyumba. Eneo lina ukubwa wa mita 35 x 25. Ni karibu na EPZ Ubungo, Viwanda vya Ubungo, Chuo Kikuu Mlimani na mfumo wa Usafiri kuelekea katikati ya jiji vimekaa vizuri. Pana hati ya Makazi. Wahi kupaona na kupanunua. Bei ya kuanzia Tsh. 65m/-
Details nipe PM
Details nipe PM