Gari Toyota Alteza inauzwa, bei maelewano, ipo katika very gud condition
Specification
Steering: Right
Transmission: Automatic
Year of Manuf: 2000/2
Engen cap: 1,990 cc
Call:0759 822 429...
WAKUU: Here for sale is my Toshiba business type laptop only 13'3 very easy to carry anywhere bought and used in UK occasional only! It has been well looked after. Intel Pentium 1.9 Ghz,, 3 GB...
Salamu Wadau,
Nauza kiwanja jijini Dar es salaam, Kinondoni B mkabala na BIAFRA
Kuna nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu, eneo lina ukubwa wa
320 square metre, nyumba iliyopo inafaa kwa matumizi...
Habari wanajamii,
Samahani wajumbe ila naulizia kama mtu anafahamu sehemu wanapouza A4 T-SHIRT PRINTER na ntafurahi nkijua bei na eneo wanalouza na kama ntapata na namba ya simu then ntashukuru zaid
Inatafutwa Suzuki Swift ya kununua,iwe ya Maroon.
Kama kuna ambaye amefanikiwa kuiona suzuki swift ya rangi hiyo kwenye yard yoyote tafadhali anijuze.Nina special interest na hiyo rangi.
other...
1. Shamba ekari 110 liko kiwangwa bagamoyo linauzwa shs 1,000,000 kwa eka linafaa kwa kilimo cha mananasi
2. Shamba ekari 50 liko mtibwa turiani linauzwa shs 4,000,000 kwa eka linafaa kwa kilimo...
NYUMBA INA MASTER 1
BEDROOM ZA KAWAIDA 3
STORE 1
JIKO LA NDANI 1
SEBULE KUBWA
NYUMBA YA UANI 1....vyumba vitatu(chumba sebule chumba)
BEI 65mil na pia maelewano yapo.
conts.
0714812375
KIMARA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.