Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Nawasilisha.
Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa tegeta skanska, zina hati miliki ukubwa wa eneo ni sqm 739. kila nyumba ina vyumba 3 vya kulala vyote master jiko, dining, public toilet, sebule kubwa, parking...
KAMPUNI YA MMP INATANGAZA NAFASI MOJA YA KAZI YA U-SEKRETARI
SIFA
~Awe na cheti cha kozi husika
~Awe anauwezo wa kuongea ENGLISH na KISWAHILI kwa ufasaha
~ Mwenye muonekano nadhifu
~Uzoefu...
KAMPUNI YA MMP INATANGAZA NAFASI MOJA YA KAZI YA U-SEKRETARI
SIFA
~Awe na cheti cha kozi husika
~Awe anauwezo wa kuongea ENGLISH na KISWAHILI kwa ufasaha
~ Mwenye muonekano nadhifu
~Uzoefu...
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya ubungo hadi kimara baruti yenye vigezo vifuatavyo:
Vyumba vitatu, kimoja master.
Iwe na parking na iwe ndani ya fence
Iwe na jiko dining na store
Kodi...
Kiwanja/Nyumba inauzwa. Ipo Chang'ombe Maduka Mawili, Pembeni kabisa ya TCC Club. Ina Hati na doc zote za kisheria.
Kiwanja kina ukubwa wa 381 Sqmtr. Bei 300M, Maelewano yapo.
Wasiliana na Mmiliki...
Toyota rav 4l
inauzwa..bei shiling 25 million..ipo kwenye hali nzuri sana km inavyoonekana kwenye picha!!imetumika kidogo sana..kwa maelezo zaidi wasiliana na mmiliki 0715890000 au nipm
Kama unahitaji tuwasiliane kwa simu au ujumbe mfupi kwa namba hii - 0787 527394
Nauza Projector Mpya kabisa aina ya EPSON LCD EX 5200 ndani ya box lake original
Gharama ni...
Kuna watu humu jf wanaweza kukupa oda ya mzigo alafu ukifika nao bongo na kumtaarifu anazima simu hapatikani?
Wengine wanaweza kukupigia wanataka mzigo ukifika nao maeneo alio kuelekeza bila...
Acer aspire one mini, 320 gb, 2gb ddr 3 ram, webcam nd ts brand new ndani ya boxi,
Bei laki saba
Kwa wale wasoma hisabati(700,000)
N:b
Bei inashuka na kama kawaida tunakupa guarantee,ahsanteni!
wadau habari...
Naomba msaada wa kujua bei ya video shooting camera kama za maharusin au sherehe sio zile ndogo za nyumban...plz kwa anayejua jamani anielekez au anitajie bei hata estimate...
Haya jaman nimechoka kumaliza mafuta ya tz11, mwenye hyo gari model yke isiwe chini ya 2004 nataman ningepata blue, kijivu hata white, bt bei nina 6m.. Iwe kwenye good and appreciable condition...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.