uko juu kk kariakoo hizo 450000
Nashkur wakuu kwa kunipa bei za k/koo ila kanunue halaf maliza nayo mwaka nikupe na mm moja ya bure,asanten kwa kuchangia mawazo!
huu mwaka wa 3 mkuu napenya nayo
Acer aspire one mini, 320 gb, 2gb ddr 3 ram, webcam nd ts brand new ndani ya boxi,
Bei laki saba
Kwa wale wasoma hisabati(700,000)
N:b
Bei inashuka na kama kawaida tunakupa guarantee,ahsanteni!