ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Mar 10, 2013 #1 Mwenye nokia x2-01 hata used aniambie sh ngapi naitaka namba yangu ni 0755065418,ukiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi
Mwenye nokia x2-01 hata used aniambie sh ngapi naitaka namba yangu ni 0755065418,ukiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Mar 10, 2013 #2 X2-02 vipi?
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Mar 10, 2013 Thread starter #3 Keben said: X2-02 vipi? Click to expand... hiyo ina sapot whatsup?
B Beautifullgirl Senior Member Joined Feb 28, 2013 Posts 100 Reaction score 15 Mar 11, 2013 #4 Niko mwnza nina noki x2-01 ina watsaap na huduma zingne bei laki moja na 70 ,,kama unataka n pm tumalizane hapa kabla ya kutafutana kwenye no
Niko mwnza nina noki x2-01 ina watsaap na huduma zingne bei laki moja na 70 ,,kama unataka n pm tumalizane hapa kabla ya kutafutana kwenye no
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Mar 12, 2013 #5 Nipo Mwanza nina simu hiyo uitakayo, haijawahi kufanyiwa matengezezo yoyote na imenunuliwa mwaka jana mwishoni. Sema una bei gani tufanye biashara!
Nipo Mwanza nina simu hiyo uitakayo, haijawahi kufanyiwa matengezezo yoyote na imenunuliwa mwaka jana mwishoni. Sema una bei gani tufanye biashara!