Bei ya Video Shooting - Msaada tafadhali

Bei ya Video Shooting - Msaada tafadhali

ligalu16

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
94
Reaction score
21
wadau habari...
Naomba msaada wa kujua bei ya video shooting camera kama za maharusin au sherehe sio zile ndogo za nyumban...plz kwa anayejua jamani anielekez au anitajie bei hata estimate. Nimehangaika k/koo jana bila mafanikio
 
Back
Top Bottom