Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo katika hali nzuri sana, ina miezi mitano toka imetoka marekani. Kwa habari zaidi ni PM
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tuwasiliane kama wewe ni dalali au unalo wewe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CHUMBA CHA KUPANGA Chumba kinapatikana maeneo ya Fao-Morroco-Mwenge karibu na raundi about ya kwenda Msasani, Posta na Magomeni, Bei yake ni 55000 kwa mwezi na inatakiwa mwaka mzima, kiko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
GEVEY SIM CARD FOR UNLOCKING IPHONE 4 FOR SALE TSH 25000 each . CONTACT 0712652110
0 Reactions
1 Replies
2K Views
inakuaje wakuu,nimekuwa na simu yngu aina ya lg bt nashndwa kupata cover na screen protector yake naombeni msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello guys!! Naomba msaada wa kuelezwa wapi nitapata vifaa vya baby vyote under the same roof kwa hapa Dar es Salaam. Kuanzia swings, strollers.... Toys za maana... Please. And at a good price...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Gari iPo Dar, kama Unania ya kununua Tafadhari wasiliana nami kwa Kuni-PM. Bei ni Maelewano! Nimeambatanisha details na Picha Details: Make: Suzuki Curry model 1991 Type: Truck Egine Capacity...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu natafuta Toyota Starlet, 1,290cc, Petrol, Mileage isiyozidi 120,000km. Bado iwe in good condition tafadhali! If you have one or you know someone please help. Niko Moshi lakini mahali...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Mwaka: 2003 Aina: Toyota Raum new model Rangi : silver km: 67,000 Bei : 11,500,000 Mawasililano: 0657 145555 au 0772 008866 gari ipo kinondoni Dar es salaam. tuwasiliane kwa mahitaji ya gari hili...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
nahitaji gari ya kununua used aina ya spacio.iliyo na hali nzuri. Model ya zamani. Nipo dsm..
0 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Naomba kujuzwa machinjio ya nguruwe tegeta yako sehem gan tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kiwanja kimepimwa kinauzwa, kipo Mbweni Mpiji Ukubwa ni Square metre 685 Bei ni: 47 Million contacts: 0715353108 au 0756144060 Email: mwamalekela@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sumsang sgh-I927 kama upo siriaz. 0713401812 mpya kama ilivyo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu. Bado mpya imetimika miez mitatu tu. Ipo pamoja na cover lake bei ni tsh 600,000 tu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndugu watanzania mimi kipato changu ni cha chini sana lakini mahitaji gari kwa ajili ya kufanyia huduma mbalimbali....ambapo huduma kubwa ni kuhudumia wagonjwa mahospitalini kila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu mmoja amehamia huku moshi sasa anatafuta chumba maeneo ya moshi mjini au longuo, anaeweza kusaidia katika hili naomba anipm please
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Wadau natafuta nyumba ya kupanga arusha maeneo maeneo ya mjini au karibu na mjini . Iwe na vyumba 2 vya kulala,sebure,jiko na iwe self contained.kodi isizidi 200,000 kwa mwezi. Call me at 0653...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ninafanya graphics nadesign picha natengeneza banners,logo,dvd cover designing,posters za mabango ya matangazo n.k nshatengeneza posters za barnaba na diamond kma hiyo kwenye picha ofic zangu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana.. Huwa naona sa watu wanaandika hivi 3S-FE 2.0L engine, 4WD) 1ZZ-FE 1.8L engine, 2WD) Hizo huwa ni nini?? Husadia nini katika utumiaji wa magari.. Asanteni
1 Reactions
16 Replies
4K Views
1998 Nissan Mistral Automatic , 2.7L , Diesel, blue , station wagon , 140,000 miles , 4 x4 7 seat, full air condition , Open roof , Duty full paid Price: 10,500,000 contact 0657 145555 0772 00...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Back
Top Bottom