Gari aina ya fun cargo inahitajika.

Gari aina ya fun cargo inahitajika.

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Haya jaman nimechoka kumaliza mafuta ya tz11, mwenye hyo gari model yke isiwe chini ya 2004 nataman ningepata blue, kijivu hata white, bt bei nina 6m.. Iwe kwenye good and appreciable condition.. Mwaga hapa details zake au zimwage kwenye mmattuh@gmail.com KARIBUNI NYOTE, NA KAMA KUNA MTU ANAWEZA NISAIDIA GHARAMA ZA KUAGIZA FRM JAPAN ANISAIDIE...
 
Asubuhi kesho nitakupa hiyo gari taarifa zake ipo ya kijivu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ipo ya silver number B bei 6m, na kuna mpya isiyo na number bei 8.8m rangi nyekundu zaidi 0657 145555
 
Back
Top Bottom