Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
476
Reaction score
255
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya ubungo hadi kimara baruti yenye vigezo vifuatavyo:
Vyumba vitatu, kimoja master.
Iwe na parking na iwe ndani ya fence
Iwe na jiko dining na store
Kodi isizidi tsh 250,000, malipo kwa miezi sita.

Kama una nyumba hiyo, ni pm, au weka contact zako hapa nitakutafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom