Hallo. Jf ni kiboko ya Hitaji lako. Kwani. Nmewahi kununua simu na vikolombwezo kibao humu kwa bei nzuri tu. Hili nalo naaamini nitatatuliwa.
Nahitaji LED Samsung 32" Mpya kabisa kwenye Box Lake...
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibaha inakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga...
husika na kichwa cha habari mimi nipo Dar es salaam ninahitaji msaada wa mawazo mimi nina 250k nahitaji dish kubwa ambalo nitaweza kuona local channel pamoja na channel wa nje hususa ni za europe...
Wakuu salama ? Tunatafuta suzuki Carry iliyotumika sio zaidi ya mwaka mmoja ya kununua, iwe na hali nzuri na inafanya kazi, isiwe na kasoro yeyote, kwa yeyote mwenye taarifa au mwenye nayo, ani PM.
Nahitaji CHEREHANI ya kusukuma kwa miguu (manual), nzima, bora, mpya au iliyotumika. Shilingi ngapi za Kitanzania? Bei inazungumzika?
Inamhusu anayepatikana 'Muheza' au'Tanga mjini'.
Tuwasiliane...
Wana jf nihataji kununua rav4 milango mitatu ya mwaka 1996-1999 (auto) ambayo ipo ktk khali nzuri. Bei isizidi 9m. Mwenye kuweza fanya hiyo biashara ani pm.
Natanguliza shukurani!
Toyota Brevis, 2002 year, 65,700KM with LCD touch screen, Dark blue color, one owner, non smoker, in very good condition, For sale at 14.5M.
Kwa mawasiliano 0713 332019.au email...
M.I.C.L Ni wauzaji wa Tracksuits size zote,wadogo kwa wakubwa.Za kike na Kiume,Jumla na Reja reja.!Tupo Dar&Arusha.Tunapokea Order za shule na bei yetu ni pouwa sana.!Call/Sms/whatsapp 0786 637775
Hello wa ungwana,mimi natarajia kuwa tanga siku za karibuni.Nahitaji nyumba ya self contain ya vyumba viwili ya kupanga.Mwenye habari yeyote anaweza nitumia email kupitia joemchina@yahoo.com
Kwa wale wanaopendelea kitoweo cha nyama ya mbuzi tafadhali piga 0659604089. Mbuzi wapo watano wasiopungua kilo 40 kwa uzito na zaidi, nawauza baada ya sehemU ya kuwafugia kukosekana!!
I have got Brand NEW BOXED iphone 5 for sale and used iphone 4 (in mint condition). If you are interested send me private message. All the phones are UNLOCKED.
Iphone 5 Tsh. 1,100,000
Iphone 4...
Ninauza kiwanja eneo la Pugu. Kimepiwa, kipo nyuma ya makazi ya Waziri Mkuu Pinda. Kina offer. Kina ukubwa wa 45 Kwa 26 sawa na square meter 982. Umeme umefika. Ni mita 190 kutoka barabara ya...
Nahitaji CHEREHANI ya kusukuma kwa miguu (manual), nzima, bora, mpya au iliyotumika. Shilingi ngapi za Kitanzania? Bei inazungumzika?
Inamhusu anayepatikana 'Muheza' au 'Tanga mjini'...