totole
Senior Member
- Jan 29, 2013
- 140
- 25
husika na kichwa cha habari mimi nipo Dar es salaam ninahitaji msaada wa mawazo mimi nina 250k nahitaji dish kubwa ambalo nitaweza kuona local channel pamoja na channel wa nje hususa ni za europe ambazo zitaweza kuonyesha LEAGUE ya UINGEREZA yani dish lenyewe lisi pungue channel 150.. unaweza n PM au 0718928267