Ushuru wa vifaa vya ujenzi ukiondoa cement havina tatizo kabisa kuviingiza Tz...mimi pia nimenunua nondo na vifaa vingine vya ujenzi hapa dubai ni cheap sana natazamia kuvituma hivi karibuni..tani moja ya nondo za 16 ni kama shilingi laki 7.5..ni kupata risit na chaji za bandari ni almost laki 3.4 ..kama unataka kununulia hapa dubai wawezawasiliana nami nikakupeleka sehemu ambapo ni cheap pamoja na tiles grade A box lenye tiles 13 ni tsh 9500 na grade B ni tsh 7400 kwa box lenye tiles 13..mimi nishanunua nasubiri mwezi ujao nizitume..ukiwa interested njoo ntakupokea tukituma pamoja cost itakuwa ndogo..+971504374387
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.