Kiwanja kinauzwa Miembesaba Kibaha

Kiwanja kinauzwa Miembesaba Kibaha

sonashi

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
44
Reaction score
10
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibaha inakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga yard ya kuuzia magari, Kujenga Hotel pia kujenga Kiwanda. Kiwanja kipo eneo la Miembesaba pembeni ya barabara kuu ya Morogoro ukubwa ni hekari tatu. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa 0754 286329
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom