kwa wale wakazi wa Tabora mjini. Kuna duka la vipuri/spare za pikipiki za bei nafuu kuliko kawaida. Hili duka linauza kwa rejareja. Linaitwa yarabi salama autospares. Lipo mtaa wa mahakama ya...
nna simu S 5300 nauza.... bei 140000. ni nzima na ina miezi minne tu toka inunuliwe.
SABABU ZA KUUZA; nimenunua simu nyingine ya window.... if upo interested 0757760837
Wadau ninatafuta toyota altezza/lexus ambayo iko imported but haina namba (probably from show roo,). Iwe na sifa zifuatato:-
iwe na rangi nzuri either nyeusi au blue.
iwe na real spoiler na...
Kipo center kabisa mita 50 kutoka barabara kuu, kinafaa kwa biashara na makazi, ukubwa mita 25 kwa 40,umeme upo huitaji hata kuweka nguzo, bei milioni 25 mazungumzo yapo. 0713078036, 0712485586
used for only three months.
To be given with its tools.
GENERAL
2G Network
GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network
HSDPA 850 / 1900
SIM
Mini-SIM
Announced
2011, June
Status
Available...
Ipo maeneo ya Bigwa mtaa wa Lukuyu,ina uwanja mkubwa sana wa kuweza kujena nyumba zingine!imejengwa mpaka level ya rinta!ina vyumba vinne,master,sebule na jiko!bei ni 19.5m mazungumzo yapo...
Nyumba ya vyumba 4 inapangishwa maeneo ha Kigurunyembe. Ina vyumba self c 2, jiko, sebule, dining hall, etc. umeme na maji vipo. Bei 200,000 tsh. kwa mwezi x miezi 6.
pm kwa maelezo zaidi.
Shamba lenye ukubwa wa ekari moja,lipo maeneo ya bugogwa,mbele ya nyamwilolelwa.halijapimwa.
Bei ni tshs milioni moja na laki mbili.
Mawasiliano 0765540059,0767301461
habari wakuu,
leo nawaletea I PAD mini 16 GB used (3 months)
bei laki 7 tuu...
kwa wateja wa arusha, mkoani kama una interest na mzigo unaweza ukatafta kijana wako onbehalf..
utapata na charger...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.