Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hallo. Jf ni kiboko ya Hitaji lako. Kwani. Nmewahi kununua simu na vikolombwezo kibao humu kwa bei nzuri tu. Hili nalo naaamini nitatatuliwa.
Nahitaji LED Samsung 32" Mpya kabisa kwenye Box Lake. Kwa bei ya Kilo Sito. Mwenye nayo ani PM tuweze kuwasiliana kufanya Biashara. Urgently please. Kama Ni mbabaishaji tafadhAli tusipotezeane Muda. Niko Serius na hili.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums