Wakuu salama ? Tunatafuta suzuki Carry iliyotumika sio zaidi ya mwaka mmoja ya kununua, iwe na hali nzuri na inafanya kazi, isiwe na kasoro yeyote, kwa yeyote mwenye taarifa au mwenye nayo, ani PM.
toa ofa yako mkuu una sh ngapi kwenye pochi yako zipo za ml 7.5,ml 8,6 mpaka 5 mkuu
Wakuu salama ? Tunatafuta suzuki Carry iliyotumika sio zaidi ya mwaka mmoja ya kununua, iwe na hali nzuri na inafanya kazi, isiwe na kasoro yeyote, kwa yeyote mwenye taarifa au mwenye nayo, ani PM.
Kuna mmoja humu huwa anazo.ila ni tapeli.nitaku pm jina lake-kuwa chonjo
humtakii mema mwenzako au nawe ni njama moja na huyo tapeli?!