Kiwanja kinauzwa pugu - kimepimwa.

Kiwanja kinauzwa pugu - kimepimwa.

belin

Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
21
Reaction score
8
Ninauza kiwanja eneo la Pugu. Kimepiwa, kipo nyuma ya makazi ya Waziri Mkuu Pinda. Kina offer. Kina ukubwa wa 45 Kwa 26 sawa na square meter 982. Umeme umefika. Ni mita 190 kutoka barabara ya lami. Ni eneo zuri sana... ni eneo la viwanja vilivyopimwa tayari. bei ni Milioni 10. Bei inajadilika. Nyumba zinazojengwa ni za kisasa. Piga simu 0654606096. Sihitaji madalali.
 
Jaribu kuongea na jirani yako labda anakitaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom