mini najifunza ujasiria mali nataka matirio ya kutengenezea sabuni za maji lakini sijui wapi ntapata matirio ya kutengenezea, nielekezeni wapi ntapata kwa bei nafuu.
nimeambiwa yanapatikana DAR...
Hellow wana JF,
Kuna Ndugu yangu anahitaji Kioo cha Mbele cha Jeep Grand Cherokee ya 2003, Chasis No 1J8G848S54Y109848. kama unajua sehemu kinaweza patikana please wasiliana nami
Kiwanja kinauzwa kwa bei poa, kipo Shinyanga Mjini maeneo ya Bushushu kuelekea Old Shinyanga.Kinatazamana na na Mamlaka ya Maji ya KASHWASA.
Sifa za kiwanja ni kama zifuatazo:
(1) Ni kikubwa kwa...
Nauza simu yangu aina ya Samsung I8700 Omnia 7 8GB kwa njia ya Ushindani yani mnada.
Imetumika lakini bado ipo katika hari yake nzuri kama inavyo onekana kwenye Picha hapa chini
Kushiriki...
Kiwanja chenye ukubwa wa hatua za miguu au mita 35 kwa 28 kinauzwa sh. mil. 6 Chanika Mwisho karibu na barabara ya lami na karibu na kituo cha daladala, kuna umeme na gari inaingia hadi ndani bila...
Ni viwanja vy ufukwe vizur na vyakuvutia ufukwen mwa bahar ya Hindi, wahi mapema kwan ndan ya wiki 1 huuzwa zaid ya heka 5.
Call me in 0715812160 na ziko kama heka 54 tuu...
many people say have smartphones but they are not real smartphones, this is a exactly smartphone, it is like a small pc in your pocket!
come from USA, used very little and in excellent...
Hoteli mpya na ya kisasa inapangishwa kwa chumba kimoja kimoja au hata yote ina vyumba 31.
Sifa za Hoteli/Hosteli ina eneo kubwa la parking,umeme,maji ya uhakika,electic fence,vyumba vyote ni full...
Kutana na wanunuzi wa gari lako hapa: http://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
Like page na upost maelezo na picha hapo. Pia kuna trade deals nzuri humo.
Karibuni.
Habarini wana wa jf. ninauza laptop yangu aina ya ACER ASPIRE 5532, ambayo nilirudi nayo kutoka marekani mwaka jana, hadi sasa ina mwaka m1 na mwezi m1 lakini bado ipo katika hali nzuri sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.