Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,125
- 2,449
Napangisha chumba maeneo ya mwenge near TRA opzt magorofa ya jeshi kodi 80,000 kwa mwezi including maji na umeme, ina maana maji na umeme hulipii, HAKUNA DALALI, nyumba ina vyumba vinne vyoo viwili mabafu matatu ndani kwa ndani ina geti na maeneo ni salama na tulivu, VYUMBA VITATU TAYARI VINA WATU.
MASHARTI
1)- Kodi ni kuanzia miezi sita na kuendelea
2)- Uwe HUJAOA au KUOLEWA meas sitaki familia, ila haikatazwi kua na MPENZI,
3)- Napendelea mtu asiyezidi miaka 30 na asipungue MIAKA 18, Hapa napendelea vijana wenzangu
4)- Uwe unajishuguklisha na chochote, Mfano unafanya kazi, Mfanya biashara au Mwanafunzi wa chuo(Hakuna kubebana)
MAWASILIANO 0684448888 Itapatikana kuanzia J3 Tarehe 22/4/2013