Makbel
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 774
- 167
Pikipiki ndogo aina ya Suzuki inauzwa. Ni automatic na speed yake mwisho 60 KPH. Imeshasajiliwa na Bima yake imeshaisha. Inatembea vyema na betri yake imekufa inahitaji kubadilishwa.
Bei ni 480,000 mazungumzo yapo
Atakayevutiwa apige namba hizi 0787577755 au 0717577755.
Bei ni 480,000 mazungumzo yapo
Atakayevutiwa apige namba hizi 0787577755 au 0717577755.