Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wanajamii, Kama kuna mtu yoyote anahitaji ushauri kuhusu processing ya madini ya Dhahabu na Shaba tu,anaweza kuwasiliana na mimi mana kuna kampuni ya vijana yenye uzoefu na mambo ya madini...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Habari wakuu ! Nahitaji kununua chaja ya samsung tablet p1000. Naomba kujua wapi nitapata kirahisi kwa Dodoma au Morogoro. Makazi yangu ni Dodoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi guys! Wanajamii ninauza hizi pair mbili za viatu laki na nusu kila pair maelewano kidogo yapo. Viatu viko dar kwa any serious buyer tafadhani ni PM asap Viatu vya brown ni size 9U.S na black...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama unaitaji gari basi wasiliana nami utataja aina then kama lipo we do the bussinesa in cheap price welcome
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale wapenda soka, hasa mechi za Ligi Kuu ya Uingereza Live tuwasiliane. HD AD Sports package ndio kimbilio la wajanja...Ukinunua King'amuzi cha AD Sports unapata channel zenye kiwango cha...
1 Reactions
54 Replies
14K Views
Nauza Samsung i897 Bei 300000 maelewano yapo just pm me!! Phone specifications 512mb of Ram 1ghz CPU PowerVr 540 GPU http://m.gsmarena.com/samsung_i897_captivate-3408.php for more information...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana JF kuna hoteli ambayo ipo katika hali nzuri sana ipo kariakoo ina gorofa 8 na standby generator. bei ni dola million 3.5
0 Reactions
29 Replies
5K Views
kuna frem tatu zinauzwa zipo tegeta kibaoni, frem izo ni kubwa zipo sehemu yenye mzunguko wa biashara bei kwa kila fremu ni ml 8 kwa maelezo zaidi waweza kunipata kwa simu namba 0714 182 640
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Jamani hbr zenu pls natafuta kontena la kufanyia biashara mwenye nalo au aneejua naweza kupataje aniibox pls
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salute, Ziko mbili moja ni 5 speed na ingine ni 4 speed, bei 8m Ndo zimetoka bandarini juzi. Sms inakubalika 0715/784/764 800989
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF Naomba msaada kwa yeyote mwenye soft copy ya financial regulations zilizotolewa kuelezea The Finance Public Act 2001, anisaidie. Natanguliza shukurani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ewe mteja,Htc legend mpyaaaaa inauzwa,bei ni 220,000/= kwa maelezo zaidi na specifications igoogle uone mzikii,kwa walio serious na biashara tuwasiliane 0719579733,0713838799,0769579733. Meseji...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Salaam, wakuu. Ninahitaji fundi wa printer (copier machine), aina ya konica minolta bizhub,na xerox work force nipo dar es salaam, nicheki kwa 0762 490 080. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini ndugu zanguni, Nina laptop aina ya acer aspire 5532 ambayo niliinunua mwaka jana, lakini haijatumika sana.. yaani namaanisha bado ipo freshi sana, ina 64 processor TF-20(1.6GHZ). ATI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mashamba yanauzwa Maeneo ya Mkoa wa pwani(Bigwa wilaya ya Mkuranga) unakatiwa kulingana na pesa yako au mahitaji yako mashamba yapo katika maeneo mazuri na ardhi yenye rutuba inayo stawi mazao...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
anasema bei zake ni milioni moja kwa kila moja,ni mpya kama unahitaji we PM Specification 1.CPU platform: Intel Core / Core i5 2.Screen size: 14-inch 3.Memory capacity: 1G 4.Hard disk capacity...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jf nina mdogo wangu wa kiume by profession yeye ni Procurement and supply Management na qualification aliyo nayo ni Certified Procurement and Supplies Professional...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Kama kuna mdau aliye interested na hii kitu tutafutane pm,, Nina appartment maeneo ya ubungo Xternal karibu na TFDA na Mkapa EPZA natafuta mtu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza HTC legend bdo mpyaaaaa with haedphones na charger yake my number is 0656304361
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom