ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Yoyote mwenye hiyo simu anijuze
fedha niliyonayo ni 130,000=
fedha niliyonayo ni 130,000=
Ni bonge la cm kaka nenda k/koo single line 150000 na double line 200000 mpk 180000 anamfunika sumsung young galaxy betri na kila kitu.
Kuna jamaa yangu anayo,ndo hyo new model?touch screen,double line au na mis read!km ndiyo hyo aliniambia bei 150,000/
nipo mkoa kaka,ningekuwa dar ningeenda kariakoo