Min Laptops Bei Gani?

Min Laptops Bei Gani?

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
238
Reaction score
179
Wakuu nauliza eti zile laptop ndogo huwa zinauzwa sh ngapi pia naweza kuzipata wapi hapa Dar?
 
Nenda Freedom Communication, jengo la J-Mo, mtaa wa Samora karibu na Clock Tower. Nenda walau na 450,000/= utapata Samsung mini laptop nzuri, ila mimi nilibahatisha wakati wa offer kwa sh. 390,000/= yenye specification zote nzuri ikiwamo 2GB RAM na HDD yenye space ya kumwaga hata sihitaji kuchungulia. Specifications nyingine ni common tu kama webcam, Bluetooth, wireless etc
 
Nashukuru sana Mkuu
 
Ninayo nimeinunua nov. 2012 hapohapo freedom. Naiuza kwa 350,000 sijaitumia kabisa na iko under warrant! U can inbox me
 
Dukani kwangu nauza mpya 420,000
Ukihitaji wasiliana na mimi
0655 338128
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom