komandokipensi
Member
- Apr 16, 2013
- 20
- 2
eneo lenye ukubwa wa square metre 6800 linakodishwa, eneo liko metre 400 toka mbezi high school pembezoni mwa barabara ya mpigi magohe, kuna nyumba kubwa inayofaa kwa ofisi au makazi, linafaa kwa kupaki magari, sheli, shule n.k mawasiliano 0774797679