qq.com
JF-Expert Member
- Jan 9, 2012
- 367
- 123
Nimepita ubungo asubuhi hii,pale wanapouza magazeti ,kuna vijana wanauza DVD za vituko Bungeni ,DVD hizo zimerekodiwa kutoka TBC wakati wa mijadala ya bunge.ajabu ni kuwa kwa sasa film za wasanii zimeharibika bali watu wananunua zile za vituko vya wabunge,juu ya kasha kuwa Juma nkamia,mwingulu nchemba,serukamba,lema na lisu .
pitia nakala yako sasa!
pitia nakala yako sasa!