Habari za leo wandugu?
Naombeni msaada wa kunielekeza wapi naweza kupata simu aina ya Samsung C5212 Duos. Simu hii inatumia lines/sim cards mbili na nimekuwa nikitamani sana kuwa nayo...
Simu orijino za Samsung galaxy S2 original toka korea zinauzwa bei poa Tsh480,000/= tu.
WAHI SASA STOCK IMEBAKI KIDOGO.
Pia kuna Samsung galaxy S1 toka korea bei poa Tsh 290,000/= tu.
Kwawale wenye kutaka kufanya kilimo chamazao yasio yakudumu yan yamuda mfupi mwaka 1 ninashamba mkuranga bungu mwakodisha shamba langu kwa shughuli kama izo eka kwa mwaka laki nanusu lipo eneo...
The plot has title deed, it is located 200 meters from the main road, 67 kilometers from dar es salaam, there is all weather road towards the plot, water and electricity facilities are nearby...
Kwa mtu anayeifahamu Mwanza Vyema, atakuwa anayajua vilivyo mazingira ya BEACH ya MIHAMA eneo ambalo lipo nyuma ya Bwiru Girls/Boys Secondary School. Eneo ni tulivu sana na kiwanja kipo umbali wa...
Mimi ni mtaalam na mzoefu kwenye fani ya ubunifu majengo. Natayarisha michoro yote na kuandaa propasal na ushauri wa ujenzi. Pia utapata na 3d view ya jinsi nyumba yako itakavyokuwa. Hii ni kwa...
Kuna nokia 5233 smartphone inauzwa kwa 95000TZ$,haina tatizo na inamiezi mitano tu,pia inavitu vyake vyote kama chaji,USB cable,hd phones,ni touchscreen,nyeusi na ina vitu vyote kama...
Je unahitaji kujenga kwa matofali imara kabisa?
Je unahitaji kutoa ODA ya kutengenezewa tofali imara kabisa kwa standard unayotaka wewe?
HALAAL CO LTD iliyopo TEGETA DAR ES SALAAM itatimiza...
Natafuta Nyumba maeneo ya Kinondoni, Msasani, Kariakoo, Muhimbili na Postal.
Vyumba viwili vya kulala na Jiko zuri.Ikiwa Master Poa ila isipokuwa nayo pia Haina neno. Bei yangu ni Laki nne...
The House is located at Mwenge approx 200 meters to Shekilango Road. Upstairs, there is a main bedroom with its own balcony 1 other bedroom room. All rooms upstairs are self -contained and the...
ni toshiba AT100 BEI NI 300K ILA KUNA MAELEWANO JAMANI
GB 16
SUPORT WIFI KAMA UNA ROUTER PIA INASUPORT
INA CAMERA
USB-FLASH UNAINGIZA NA KUCHEK MUV
MEMORY CARD PLACE
****WAHI HARAKA NINA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.